Afrika Yaandika Historia Kombe la Dunia la FIFA 2026, Yapeleka Timu 10
Afrika imeweka rekodi mpya ya kihistoria baada ya kupata wawakilishi 10 katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, litakalofanyika Marekani, Canada na Mexico kuanzia Juni 11, 2026. Nchi zilizofuzu ni pamoja na Senegal, Morocco, Misri, Ghana, Algeria, Tunisia, Ivory Coast, Cape Verde, Kongo (DRC) na Afrika Kusini. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya…