Orodha ya wachezaji waliotwaa tuzo za Man of the Match mara nyingi
NBC Premier League 2025/26 ina ushindani mkubwa huku ligi ikiwa inakaribia kufika ukingoni kwa bingwa kupatikana. Ipo wazi kwamba mabingwa watetezi ni Yanga SC wanaongoza ligi wakiwa na pointi 60 nafasi ya pili ni Simba SC ikiwa na pointi 58. Kila timu imecheza mechi 25 zimesalia mechi 5 kukamilisha mzunguko wa pili wa ligi namba…