
MZAMIRU YASSIN AINGIA KWENYE VITA MATATA SIMBA
MASTAA watatu wa kikosi cha Simba wameingia kwenye fainali ya kuwania tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Septemba. Nyota hao wanawania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) ambapo mshindi huchaguliwa na mashabiki. Ni mshambuliaji Moses Phiri na kiungo Clatous Chama hawa wote ni raia wa Zambia pamoja…