
BREAKING: VIJANA WAPYA WATAMBULISHWA IDARA YA HABARI YANGA
VIJANA wapya wa Yanga kazini Ally Kamwe na Privadinyo kwenye idara ya Habari na Mawasiliano wametambulishwa rasmi leo Septemba 27. Kamwe ni mchambuzi na mwandishi wa Habari za Michezo sawa na ilivyo kwa Privadiny ambao wote ni familia ya waandishi wa Habari. Pia Haji Mfikirwa yeye atakuwa kwenye kitengo cha fedha wakiwa pamoja na Mtendaji…