
SADIO MANE AONGOZA JESHI LA BAYERN KUIMALIZA BARCELONA
HALI ilikuwa mbaya kwa Barcelona kwenye mchezo wa UEFA Champions League ndani ya dakika 90 kwa kuwa hakuna shuti hata moja walilopiga likalenga lango. Katika mashuti 9 waliyopiga ilikuwa ngumu kupenya kwenye ngome ya Bayer ya Msenegal Sadio Mane ambaye alianza kuwatungua dakika ya 10 kwenye mchezo huo. Licha ya kuwa walikuwa Uwanja wa Camp…