
MPANGO WA AZAM FC, KIPANGA KIMATAIFA IMEGOMA
MPANGO wa Azam FC kwenye mechi za kimataifa umegotea Uwanja wa Azam Complex licha ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Khadar ya Libya. Timu hiyo imeondolewa kwenye Kombe la Shirikisho kwa jumla ya mabao 3-2 kwa kuwa mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini Azam FC ilipoteza kwa kufungwa mabao 3-0 na jana ilikuwa inahitaji…