
BEKI WA KAZI SIMBA AREJEA, TAYARI KWA YANGA
BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ameanza kurejea kwenye ubora wake kwa ajili ya kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 23.