
TANZANIA YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
IKIWA ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuingia kwenye Kombe la Dunia kupitia timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti wamefanikiwa kutnga hatua ya robo fainali. Mchezo wa leo Oktoba 18 ambao ulikuwa ni watatu kwa Tanzania imeambulia sare ya kufungana bao 1-1 na timu ya Taifa ya Canada. Kwenye mchezo wa…