
USHINDI WA MABAO 7-1 WAIPA JEURI LIVERPOOL
BAADA ya kichapo cha mabao 7-1 walichokitoa Liverpool kwa Rangers katika Ligi ya Mabingwa Ulaya juzi kimemfanya Jurgen Klopp aamini kwamba watakuwa wanajiamini kuelekea mchezo wao dhidi ya Man City. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Jumapili unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki wa mpira kutokana na ushindani wa timu hizo mbili. Ni mabao matatu ambayo yalifungwa…