
HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA IHEFU
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kinachotarajiwa kuanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu hiki hapa:- Diarra Djigui Kibwana Shomari Lomalisa Mutambara Dickson Job Yannick Bangala Zawad Mauya Kalid Aucho Sure Boy Fiston Mayele Jesus Moloko Tuisila Kisinda