
SENEGAL YAMCHAPA QATAR 3-1
SENEGAL wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Qatar kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia. Uwanja wa Al Thumana mbele ya mashabiki 41,797 ngoma imepigwa. Mchezo mmoja uliokuwa na ushindani mkubwa huku kipanamba moja wa Senegal Mendy akifanya kazi kubwa kuokoa michomo langoni mwake. Ni mabao ya B Dia dakika ya 41,…