
KOMBE LA DUNIA: CAMEROON VS SERBIA NA GHANA VS JAMHURI YA KOREA,KAMATA ODDS KUBWA
Siku ni Jumatatu na Jumanne wakati ambao wengi wanakuwa kwenye mihangaiko ya kutafuta chochote kitu, ili mkono uende kinywani, sikia mdau! Meridianbet hawakuachi ukateseka, msimu huu wa kombe la dunia wanakupa machaguo special kwa ODDS kubwa na Bomba, kikubwa ni wewe kubeti bila kuchoka tena ukibeti kwa kitochi dau lako la chini tu TZS 250/=…