
SINGIDA BIG STARS YATINGA FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI
SINGIDA Big Stars wana jambo lao ndani ya Kombe la Mapinduzi kutokana na kasi yao mbele za vigogo wanaokutana nao. Inakuwa timu ya kwanza kwenye makundi msimu huu kushusha kichapo kikubwa na mchezaji wake mmja kufunga mabao yote baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Azam FC. Ni Francis Kazad ambaye ni ingizo jipya…