
VIDEO;YANGA TAMBO, YATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA
YANGA Tambo zatawala yatupa dongo kimtindo Simba yabainisha kuwa mnyama alishikwa sharubu
YANGA Tambo zatawala yatupa dongo kimtindo Simba yabainisha kuwa mnyama alishikwa sharubu
SENEGAL wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Qatar kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia. Uwanja wa Al Thumana mbele ya mashabiki 41,797 ngoma imepigwa. Mchezo mmoja uliokuwa na ushindani mkubwa huku kipanamba moja wa Senegal Mendy akifanya kazi kubwa kuokoa michomo langoni mwake. Ni mabao ya B Dia dakika ya 41,…
SIMBA kusajili wachezaji kutoka Ghana, Msumbiji dirisha dogo kuimarisha kikosi hicho
BAADA ya kumalizana na Namungo ugenini sasa kikosi cha Azam FC kinafanya maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Chini ya Kaimu Kocha Kali Ongala timu hiyo imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Edward Manyama akitumia pasi ya Ayoub Lyanga. Mchezo wa kwanza kwa Ongala kuwa benchi ilikuwa…
CEDRICK Kaze kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Mbeya City kuna baadhi ya wachezaji ambao watarejea kutokana na kuwa na adhabu. Kesho Yanga ambao wamecheza mechi 48 za ligi bila kufungwa wana kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Mbeya City mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kaze amesema:”Aziz…
NYOTA wa zamani wa Manchester United, David Bekham anatajwa kuwa kwenye mpango wa kuinunua klabu. Staa huyo anatajwa kuwa kwenye mchakato wa kuwa kwenye muunganiko na wawekezaji wengine ili kuongeza nguvu na nafasi ya kushinda dili hilo baada ya familia ya Glazers kutangaza kuiweka sokoni. The Glazers waliinunua Man United kwa pauni milioni 790 ilikuwa…
Hauko peke yako – Meridianbet ina ujumbe mzito kwa wanawake wahanga wa matukio ya ukatili wa kijinsia. Popote ulipo, mtaani, maeneo ya kazi, maeneo binafsi… Wanawake wanne kati ya watano hupitia ukatili mitaani. Mmoja kati ya wanawake watatu huathiriwa na ukatili wa kijinsia na kimwili. Mmoja kati ya wanawake watano amepitia unyanyasaji mtandaoni, lakini pia…
WAKATI timu ya taifa ya Brazil ikiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Serbia staa wao Neymar alipata maumivu ya enka. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwenye benchi la ufundi la Brazil zimeeleza kuwa hali ya maumivu ambayo amepata itatolewa taarifa kamili baada ya ripoti ya madaktari kutolewa. Staa huyo baada ya kutolewa alionekana…
KIUNGO wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Aziz KI anatarajiwa kuwa miongoni mwa wachezaji watakaoivaa Mbeya City kwenye mchezo ujao wa ligi. Aziz KI alikosekana kwenye mechi tatu baada ya kufungiwa na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania, (TPLB) kwa kosa la kukwepa kusalimiana na wachezaji wa timu…
MZEE Muchachu alia na matkeo mabaya Simba ndani ya Ligi Kuu Bara
WINGA wa pembeni wa kimataifa wa Uganda, Allan Okello ameweka wazi kuwa tayari kujiunga na Yanga endapo viongozi wa timu hiyo watakuwa tayari kuhitaji saini yake na kufanya mazungumzo kwa ajili ya kukamilisha dili hilo. Okello mwenye umri wa miaka 22 ni moja kati ya wachezaji bora chipukizi kutoka nchini Uganda mwenye uwezo mkubwa…
YANGA yabainisha mbinu itakayowapa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa aliweka wazi tangu awali kuwa mchezo wao dhidi ya Mbeya City utakuwa mgumu na matokeo ambayo wamepata yametokana na ushindani huo. Licha ya kupata bao la kuongoza dakika ya 14 Simba iliokota bao dakika ya 78 kupitia kwa Tariq Seif ambaye alifanya mpango wa timu hiyo kusepa…
YANGA raha nyie, Mgunda ashusha presha ya ubingwa ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
Michuano ya Kombe la dunia inaendelea kule Qatar ambapo leo Alhamis kutakuwa na mechi 4 za kumalizia mzunguko wa kwanza wa makundi ni kundi G na H, Uswizi vs Cameroon, Uruguay vs Jamhuri ya Korea, Ureno vs Ghana na Brazil vs Serbia. Kesho Ijumaa ni mechi za mzunguko wa pili Wales vs Iran, Qatar vs…
LICHA ya kiungo Mzamiru Yassin kufunga bao la kuongoza mbele ya Mbeya City ngoma ilikuwa nzito kwa timu hiyo kuvuna pointi tatu. Bao la utangulizi lilifungwa dakika ya 14 na kuwafanya Simba kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0. Ngoma ilipinduka kipindi cha pili ambapo kasi ya Mbeya City ilikuwa kubwa mwanzo mwisho kuikabili Simba….