
ISHU YA KIUNGO MGANDA KUGOMEA MKATABA YANGA IPO HIVI
ISHU ya kiungo Mganda kugomea mkataba Yanga ipo hivi
ISHU ya kiungo Mganda kugomea mkataba Yanga ipo hivi
MCHEZO wa Raundi ya Pili, Azam Sports Federation, Desemba 9,2022 ikiwa ni siku ya kumbukizi ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania ni mabao 9, Azam FC walipata. Baada ya dakika 90, ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Azam FC 9-0 Malimao FC. Ilikuwa mwendo wamojamoja kwa watupiaji wa Azam FC ikiwa ni pamoja…
MWAMBA Emiliano Martinez kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina aliokoa penalti mbili kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni ile iliyopigwa na beki kitasa wa Timu ya Taifa ya Uswisi Virgil van Dijk na Berghuis, jambo lililowapa mlima mzito kuweza kutusua kwenye hatua hiyo. Argentina ya Lionel Messi inatinga hatua ya nusu fainali…
Kila mmoja ana ndoto kubwa ya kumiliki vitu vizuri, lakini vikwazo vya Maisha na bajeti kubana hukwamisha ndoto ya wengi kumiliki vitu wanavyovitaka, kwa kulitambua hili kampuni ya Meridianbet waliamua kurahisha mipango yako, kwenye promosheni ya shinda TV ukibeti na kitochi. Ilichukua siku kadhaa mpaka kumpata Bingwa wa kubeti na kitochi mwanafamilia wa Meridianbet anayejulikana…
KUNA wakati unakuwa juu kutokana na furaha kisha unashuka chini kutokana na huzuni, haya ni maisha na yametokea kwenye mchezo wa kuwania kutinga hatua ya nusu fainali, Brazil 1-1 Croatia. Staa wa Timu ya Taifa ya Brazil Neymar alikuwa na furaha kwa muda baada ya kutupia bao na ngoma iliporudishwa kisha wakatolewa kwenye hatua ya…
JEMBE aichambua Simba ya zamani, rekodi bado haijavunjwa
MECHI za hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Dunia zinatarajiwa kuanza kazi leo Ijumaa ambapo miamba wa soka Ulaya na Amerika Kusini inatarajia kupambana. Mechi ya mapema zaidi leo Ijumaa inatarajiwa kuwa kati ya Croatia dhidi ya Brazil majira ya saa 12:00 jioni kwa Bongo halafu baadaye Uholanzi wakimenyana na Argentina saa…
SALEH Jemba amvaa kipa Namungo,amewafungisha, aichambua Yanga
EDNA Lema aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Princess mchezo wake wa kwanza akiwa nyumbani alipoteza mchezo huo na maneno yake ya mwisho aliweka wazi kuwa mpango kazi uligoma. Desemba 8,2022 mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Uhuru na siku hiyohiyo, Lema na Mohamed Hussein walifungashiwa virago.
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Azam Sports Federation leo dhidi ya Malimao. Huu ni mchezo wa raundi ya Pili ambapo Azam FC itakuwa mwenyeji kwenye mchezo wa leo Desemba 9 2022 unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ongala amebainisha kuwa…
CRISTIANO Ronaldo nyota wa Timu ya Taifa ya Ureno amesisitiza kwamba timu hiyo ina muunganiko mkubwa huku kukiwa na nguvu kutoka nje zinazotaka kukivunja kikosi hicho. Nyota huyo ameweka wazi kuwa nguvu hizo hazitaweza huku ikitajwa kwamba nyota huyo yupo tayari kusepa kabla ya mashindano ya Kombe la Dunia, Qatar,2022. Ronaldo mwenye miaka 37 alijiunga…
Ile Barabara ya kwenda fainali ya Kombe la Dunia sasa imekamilika mkandarasi aliyehusika kuijenga barabara hiyoni FIFA akishirikiana na wahandisi kutoka Qatar na mafundi walikuwa niwengi lakini wamebaki hawa Croatia vs Brazil, Uholanzi vs Argentina, Morocco vs Ureno na England vs Ufaransa. Fursa ya hela ipo Meridianbet Bonyeza hapa kuona odds za mechi hizi. Ndege…
KAULI ya Bobosi anayewindwa na Yanga kwa ajili ya kumpa dili kwenye dirisha dogo la usajili
KWA mzunguko wa kwanza majukumu ya mipira iliyokufa ndani ya kikosi cha Yanga yalikuwa kwenye miguu ya Aziz KI. Nyota huyu bado hajaonyesha makeke yake kama ilivyokuwa ndani ya ASEC Mimosas lakini taratibu anazidi kuimarika. Ni mabao mawili ametupia ndani ya ligi msimu huu wa 2022/23 ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,…
SIKU sita tu.. Bonge la beki linakuja Simba, Azam wako siriazi kwa Fei Toto mjue, ndani ya Championi Ijumaa
NDANI ya kikosi cha Azam FC namba moja kwa utupiaji ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao sita kibindoni. Hakuwa kwenye mechi za mwisho za mzunguko wa ligi kwa kuwa hakuwa fiti lakini tayari kwa sasa ameanza mazoezi kwa ajili ya kurejea uwanjani mzunguko wa pili. Miongoni mwa mechi ambayo alikosekana ni ile yakufungia mzunguko wa…
NYOTA wa Yanga Fiston Mayele amechaguliwa kuwa mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23. Kwa mujibu wa Kamati ya Tuzo ya TFF imeeleza kuwa haikumuhusisha kocha wa Azam FC kwa kuwa timu hiyo haikuwa na kocha mkuu kwa Novemba. Ikumbukwe kwamba Azam FC ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala ambaye…