SAIDO KUIWAHI AZAM FC

SAID Ntibanzokiza kiungo wa Yanga ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha yake anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 6 utakuwa ni wa mzunguko wa pili Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo aliumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar na alikuwa na jambo…

Read More

YANGA WANA BALAA HAO, SIRI HII HAPA

NDANI ya Ligi Kuu Bara Yanga ni baba lao kutokana na kasi yao ya kusaka matokeo kwenye mechi za Ligi Kuu Bara ikiwa inaongoza ligi baada ya kucheza jumla ya mechi ambazo wanacheza. Mchezo wao uliopita kwenye ligi ilikuwa dhidi ya Kagera Sugar ambao ni mzunguko wa pili ulichezwa Uwanja wa Azam Complex, baada ya…

Read More

MAMELODI YAKUBALI KICHAPO LIGI YA MABINGWA

Mamelodi Sundowns imekubali kichapo cha 1-0 dhidi ya wenyeji, Raja Casablanca kwenye mchezo wa raundi ya nne wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika dimba la Larbi Zaouli. FT: Raja AC 🇲🇦 1-0 🇿🇦 Mamelodi Sundowns ⚽ 45+2’ Benamar Timu zote zimemaliza mchezo zikiwa pungufu wachezaji wawili wa Mamelodi Sundowns wakioneshwa kadi…

Read More

RB LEIPZIG YAPIGWA 3-0 BUNDESLIGA

BUNDESLIGA moto unawaka baada ya Klabu ya Monchengladbah kuishushia kichapo cha mabao 3-0 RB Leipzig. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Borussia Park staa wao Janas Hofmann alitupia mabao mawili dakika ya 10 na 35. Bao lingine lilijazwa kimiani na Ramy ensebaini ilikuwa dakika ya 53 lilifunga ukurasa wa pointi tatu jumlajumla. Ni mashuti 21,…

Read More

FRED V GUEDE BADO WANAJITAFUTA HUKO

KAZI imeanza ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mchezaji kupambania kuonyesha uwezo wake uwanjani huku kukiwa na vita kubwa kwenye upande wa washambuliaji kuonyesha uwezo wao. Baada ya mechi za hivi karibuni mastaa wa Simba na Yanga kila mmoja alikuwa na kazi ya kufanya ni Michael Fred wa Simba na Joseph Guede mwamba wa…

Read More

HIVI NDIVYO MZAMIRU ALIVYOFANYA MAADILIKO YA KANOUTE CAF

KWENYE mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba 1-1 Power Dynamow, Mzamiru alikomba dakika 58 nafasi yake ikachukuliwa na Willy Onana ambaye ni kiungo mkabaji. Akiwa benchi Simba ilipata bao dakika ya 69 muda mfupi baada ya kiungo huyo mkabaji kutoka. Alipotazama wapinzani wao wanashambulia kwa kasi hakuna kiungo mkabaji wa asili, akitazama benchi yupo…

Read More

BANDA ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA

KIUNGO wa Simba, Peter Banda ameshinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki kwa mwezi Machi. Banda ameweza kushinda tuzo hiyo akiwazidi kura nyota wawili ambao aliingia nao katika fainali inayodhamiwa na Emirate Aluminium. Nyota hao ni pamoja na beki wa kazi ngumu na chafu Shomari Kapombe pamoja na kiungo wa kupekecha Pape Sakho. Kapombe aliweza…

Read More

KOCHA WA AL HILAL KUINOA AZAM FC MSIMU MPYA?

KOCHA Mkuu wa Al Hilal Omdurman ya nchini Sudan, Florent Ibenge inatajwa kuwa amemalizana na matajiri wa Dar, Azam FC kuwa kwenye benchi la ufundi kwa msimu wa 2025/26. Inaelezwa kuwa Ibenge amemalizana na Azam FC kwa ajili ya msimu ujao unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Azam FC msimu wa 2024/25 imeambulia patupu kwenye mataji…

Read More

UGANDA WAIPIGA MKWARA HUU TANZANIA

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Uganda, Emanuel Okwi ameweka wazi kuwa kesho watapambana kupata matokeo dhidi ya Tanzania. Uganda ipo Bongo ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Stars kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 Ivory Coast. Katika mchezo uliochezwa Misri, ubao ulisoma Uganda 0-1 Tanzania huku bao likifungwa na Simon Msuva….

Read More

YANGA YAITULIZA DODOMA JIJI, MAYELE YULEYULE

YANGA imesepa na pointi tatu jumlajumla kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara wakiwa ugenini. Ubao wa Uwaja wa Liti umesoma Dodoma Jiji 0-2 Yanga na mabao yote yakifungwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Ni Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika ya 41 akiwa ndani ya 18 na kuwafanya Dodoma Jiji kuwa nyuma…

Read More