Home Sports VIDEO:ISHU YA USAJILI SIMBA WAMTAKA ADEBAYO/ONYANGO

VIDEO:ISHU YA USAJILI SIMBA WAMTAKA ADEBAYO/ONYANGO

JULAI Mosi 2023 dirisha la usajili limefunguliwa huku mashabiki wa Simba wakiweka wazi kuwa wanahitaji wachezaji bora ambao watawapa furaha na mataji. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Simba imepishana na mataji muhimu ambayo yamekwenda Yanga.

Yanga imetwaa ligi, Ngao ya Jamii na Azam Sports Federation huku Simba ikiambulia nafasi ya pili kwenye ligi

Previous articleYANGA KUANZA KUSHUSHA VYUMA VYA KAZI
Next articleFURAHA YA SASA IDUMU MWANZO MWISHO