
KARIAKOO DABI MAKOSA YA KIBINADAMU YASIPEWE NAFASI
LIGI ya Wanawake Tanzania inazidi kuwa na ushindani mkubwa kutokana na kila timu kufanya kazi kubwa kusaka ushindi. Unaona kwamba msimu huu mpaka sasa bado hakuna timu ambayo imejihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa kutokana na mipango kazi ambayo inafanywa. Kwa sasa hilo ni jambo ambalo linapaswa kuendelea kupewa uangalizi na umakini hasa kwa kuboresha mazingira…