
KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE
NI Metacha Mnata ameanza langoni kwenye kikosi cha leo akichukua nafasi ya Djigui Diarra ambaye ataukosa mchezo wa makundi dhidi ya TP Mazembe Dickson Job Lomalisa Mwamnyeto Bacca Bangala Moloko Sure Boy Mayele Mudhathir Musonda