
BALEKE HAKAMATIKI, AMKALISHA MUSONDA
USAJILI wa Simba kwa mshambuliaji Mkongomani, Jean Baleke umeonekana kuwa bora zaidi ya straika wa Yanga, Mzambia, Kennedy Musonda. Hiyo imetokana na kasi na ubora wake wa kufunga mabao tangu Mkongomani huyo ajiunge na Simba katika usajili wa dirisha dogo kama ilivyo kwa Musonda. Usajili wa Baleke ulikuwa ukibezwa kutokana na kujiunga na timu hiyo…