
HUU HAPA MTAMBO WA MABAO MTIBWA SUGAR
NDANI ya Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Charles Ilanfya ametupia mabao manne akiwa ni namba moja kwa utupiaji kwenye kikosi hicho kilicho nafasi ya 12 na pointi 29. Ikumbukwe kwamba kinara wa utupiaji anatokea ndani ya Yanga ambaye ni Fiston Mayele mwenye mabao 16. Ni mabao 27 safu ya ushambuliaji ya Mtibwa Sugar…