
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amezungumzia kuhusu Simba kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali dhidi ya Wydad Casablanca na kuzungumzia ishu ya wapinzani wa Yanga kwenye hatua ya nusu fainali. Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ikiwa na mastaa wake wapya kama…
KWENYE mechi za Kombe la Azam Sports Federation hatua ya nusu fainali ratiba zimezogezwa mbele kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Mchezo Kati ya Singida Big Stars dhidi ya Yanga ulitarajiwa kuchezwa Mei 7, Uwanja wa Liti utapangiwa tarehe nyingine. Taarifa imeeleza kuwa Yanga inayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa…
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdalah Mohamed,’Bares’ amesema kuwa watafanya kazi kubwa kuiboresha safu ya ushambuliaji ili kufunga mabao mengi zaidi. Prisons ipo nafasi ya 9 ina pointi 31 baada ya kucheza mechi 27 katika ligi msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba vinara wa ligi ni Yanga wakiwa na pointi 68 baada ya kucheza mechi 26…
NI Youssouph Dabo ametambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Azam FC msimu ujao, 2023/24. Dabo, raia wa Senegal, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwa ndani ya Azam FC. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kali Ongala ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu. Kituo kinachofuata kwa Azam FC ni Jumamosi mchezo wa ASFC dhidi ya Simba,…
KIUNGO Rivers United akubali kutua Yanga, Simba wabadili gia ndani ya Spoti Xtra Jumanne
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi zao. Ni Fiston Mayele mwenye mabao 16 ndani ya ligi na mabao matano katika Kombe la Shirikisho Afrika ametupia mabao matano kuanzia hatua ya makundi mpaka robo fainali. Mei Mosi kikosi…
JONAS Mkude ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo kwenye msafara ulipo Ruangwa,Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Mkude alikosekana kwenye mechi za hivi karibuni katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakati Simba ikifungashiwa virago na Wydad Casablanca hatua ya robo fainali kuanzia ule wa nyumbani hata ugenini. Yupo…
HAKIKA ni wakati mzuri kwa Yanga kutokana na kile ambacho walikuwa wanapigia hesabu kujibu kwa wakati. Kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano makubwa Afrika ni heshima kwa Tanzania na timu yeyewe inaonyesha ukomavu wake. Wachezaji bila kusahau benchi la ufundi hakika walikuwa kwenye kazi kubwa kutimiza majukumu yao uwanjani na nje ya uwanja. Mashabiki…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta mchawi ni nani bali wanachukua somo ili wkwenda hatua zinazofuata
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Yanga inakuwa kwenye mashindano makubwa inayoshiriki. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia Aprili 30 iliandika rekodi yake mpya ya kutinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi wa jumla wa mabao 2-0 Rivers United. Mabao hayo yote Yanga ilishinda ikiwa…
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Simba mbio zao zimegote hatua ya robo fainali baada ya kufungashiwa virago na mabingwa watetezi Wydad Casablanca. Wakati yakitokea kwa Simba kufungashiwa virago watani zao wa jadi Yanga wametinga hatua ya nusu fainali dhidi ya Rivers United kutoka Nigeria. Hakika moja ya mechi mbili zilizokuwa na ushindani mkubwa…
SISI ndio Yangaaa,Simba yachora ramani kuivurugia Yanga ubingwa ndani ya Championi Jumatatu
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imeandika historia bora ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Faida ya mabao ya ugenini ubao uliposoma Rivers United 0-2 Yanga umewapa nguvu kusonga mbele. Mabao yote yalifungwa na Fiston Mayele akitumia pasi za Bakari Mwamnyeto. Katika mchezo wa leo Uwanja wa Mkapa wametoshana nguvu…
JURGEN Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool ameshuhudia vijana wake wakivuja jasho dakika 90 mbele ya Spurs. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Anfield umesoma Liverpool 4-3 Spurs. Liverpool walianza kupachika bao dakika ya 3 kupitia kwa Curtin Jones kisha dakika ya 5 Luis Diaz alipiga msumari wa pili na Mohamed Salah dakika ya…
UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Rivers United ikiwa ni mapumziko kwa sasa. Huu ni mchezo wa pili wa hatua ya robo fainali ambapo wawakilishi wa Tanzania wanapeperusha bendera. Kwenye kipindi cha kwanza dakika ya 24 mchezo ulisimama kwa muda kutokana na tatizo la mwanga katika eneo la kuchezea kuwa hafifu na walipolishughulikia…
MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ten Hag imesepa na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Aston Villa. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford ubao umesoma Manchester United 1-0 Aston Villa. Bao pekee la ushindi limefungwa na Bruno Fernandez dakika ya 39 kipindi cha kwanza na kuimaliza kazi mapema. United inafikisha pointi 63 nafasi…