
AZAM FC HESABU ZAO KWA NAMUNGO, NGOMA YAPELEKWA MBELE
MABOSI wa Dar, Azam FC wameanza hesabu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Awali mchezo huo dhidi ya Namungo ulitarajiwa kuchezwa Jumamosi ya Mei 13 lakini umepelekwa mbele kwa muda wa siku moja ngoma itapigwa Mei 14…