
WAARABU WAONDOKA NA MAYELE,CHAMA ATAJA KILICHOWAPONZA
WAARABU waondoka na Mayele, Chama ataja kilichowaponza ndani ya Spoti Xtra Jumanne
WAARABU waondoka na Mayele, Chama ataja kilichowaponza ndani ya Spoti Xtra Jumanne
LEGEND kwenye masuala ya michezo ardhi ya Tanzania anga za kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amezungumzia kuhus mchezo wa Yanga dhidi ya USM Alger uliochezwa Uwanja wa Mkapa Mei 28,2023. Ilikuwa ni fainali ya kwanza kwa Yanga na ubao ulisoma Yanga 1-2 USM Alger, kwenye mchezo huo hali ya hewa ilkuwa ni mvua jambo ambalo…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anahitaji kupata viungo wengine wawili wa kazi kwenye kikosi hicho ili kuongeza ushindani wa namba. Timu hiyo imepishana na ubingwa ambao umekweda kwa watani zao wa jadi Yanga. Sifa za nyota ambao anawahitaji ni kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji Sadio Ntibanzokiza mwenye mabao 10 na pasi…
KOCHA Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag amesema kwamba Manchester United lazima wawekeze ikiwa wanataka kusalia katika nafasi nne za juu za Premier League. Ten Hag ameirudisha United kwenye Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza huku pia akishinda Kombe la Carabao. Lakini kocha huyo alikuwa na wachezaji watatu pekee waliosajiliwa kwa mkopo katika…
BAADA ya kupoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 1-2 USM Alger kwenye hatua ya kimataifa mashabiki wameweka wazi kuwa bado kuna dakika 90 za ugenini ambazo watapambana kupata ushindi. Yanga inakwenda kupambana Juni 3,2023 huku wakiweka wazi kuwa Fiston Mayele anaweza kwenda kufunga mabao saba mpaka 9
MAISHA ya mpira yanahitaji umakini mkubwa kwa kila mmoja kupambana kutimiza malengo ambayo yapo kwenye timu husika na inawezekana licha ya kwamba msimu unakaribia kufika ukingoni. Tumeona kwamba kila timu imefanya kazi yake kwa kupambana kufikia malengo na wapo ambao walikwama na wengine wanasubiri mpaka mechi mbili za mwisho kukamilisha hesabu huku Yanga wakiwa wametwaa…
TULIENI hawa tunao, mkata umeme Sima kuchota milioni 350 ndani ya Championi Jumatatu
NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ado mchezo haujaisha kwenye anga la kimataifa licha ya kupoteza kweye fainali ya kwanza. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-2 USM Alger ya Algeria. Bao pekee la Yanga limefungwa na Fiston Mayele ambaye anafikisha jumla ya mabao 7 kwenye anga za…
WAKIWA mashuhuda wa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ukielekea kwa watani zao wa jadi Yanga, Simba wametusua katika vigongo vitatu vizito. Yanga imetwaa ubingwa wa ligi ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 wawa na Simba yenye pointi 67. Ni safu ya ushambuliaji iliyofunga mabao mengi katika hili mastaa wa Simba walipambana kupachika…
ABULEKH Banchikha, Kocha Mkuu wa USM Alger ameweka wazi kuwa mchezo wao wa leo hawatacheza na mshambuliaji Fiston Mayele wa Yanga. Mayele ni kinara wa utupiaji ndani ya kikosi cha Yanga kwenye anga la kimataifa akiwa ametupia mabao sita. Yupo sawa na yule wa Marumo Gallants anayeitwa Ranga Chivaviro lakini timu hiyo imegotea hatua ya…
CLATOUS Chama kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa ikiwa atakosa tuzo ya kiungo bora ndani ya Ligi Kuu Bara kisha wakachukua nyota wengine anaocheza nao ndani ya Simba kwake itakuwa furaha. Simba imegotea nafasi ya pili na vinara ni watani zao wa jadi Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga…
WASIWASI ni dawa wanasema hivyo hivyo kwa wawakilishi kwenye anga la kimataifa Yanga hampaswi kujiamini kupita kiasi. Mwendo ambao mlianza nao kwenye kila hatua hakika unapaswa kupongezwa na ili uwe na mwendelezo mzuri ni muhimu kupata ushindi leo kwenu Yanga. Moja ya fainali kubwa na ngumu kupata kutokea ni hii hapa kwa kuwa kosa moja…
BEKI wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wanatambua ubora wa wapinzani wao USM Alger na wamejiandaa kufanya kazi nzuri kwenye kuzuia kesho mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa
WAKATI mwingine wa kuendeleza furaha kwa familia ya michezo inakuja siku ambayo Afrika itakuwa ikifuatilia habari za dakika 90. Ni dakika 90 zenye maamuzi ya dakika 90 za mwisho kwa Yanga kwenye mchezo wa fainali ya kwanza hatua ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kila mmoja anatambua kazi iliyopo mbele sio ndogo kutokana na ukubwa wa…
MWANAHAMISI Omary, ‘Gaucho’ afungukia kuhusu maisha yake na kile ambacho anapenda kukifanya kila siku kwenye maisha yake. Nyota huyo ni miongoni mwa Legend kwenye Soka la Wanawake na walipokuwa wakikutana na watani zao wa jadi Yanga Princess alikuwa akiwapa tabu ndani ya uwanja.
MAYELE: Hawa USM Alger siwaachi, bosi mpya Simba SC apewa faili la mkata umeme ndani ya Championi Jumamosi
NYOTA Yanga afungukia ishu ya fainali kimataifa ni David Bryson amesema kuwa hawana hofu na wamejiaandaa kwa umakini kwa ajili ya mchezo huo. Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya USM Alger kwenye hatua ya fainali ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika.