
SAA 8 ZA USO KWA USO, HERSI VS FEISAL
SAA 8 za uso kwa uso, Hersi v Feisal ndani ya Championi Ijumaa
SAA 8 za uso kwa uso, Hersi v Feisal ndani ya Championi Ijumaa
BEKI wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa nje ya uwanja kwa muda Mohamed Ouattara hatimaye ameanza mazoezi. Nyota huyo hakuwa fiti baada ya kupata maumivu alipokuwa kwenye majukumu yake. Alikuwa miongoni mwa nyota waliopata nafasi ya kucheza mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Katika mchezo…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kufungwa kwa timu hiyo kutokana na mipira ya adhabu ni sehemu ya mpira. Yanga ikiwa imefungwa mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho Afrika, kuanzia hatua ya makundi mpaka fainali imefungwa mabao matano yaliyotokana na mapigo huru. Miongoni mwa mabao ambayo walifungwa yaliyotokana na mapigo huru ilikuwa kwenye…
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ameweka wazi kuwa hana tatizo na Yanga bali kuna masuala ambayo amekuwa akifanyiwa na viongozi hayapendi. Nyota huyo kwa sasa yupo kwenye mvutano na mabosi wa timu hiyo kuhusu suala la mkataba wake ambapo yeye anahitaji kuondoka huku Yanga wakiweka wazi kuwa mkataba wake bado unaishi mpaka 2024. Fei kwa…
ROBERT Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anahitaji maboresho zaidi kwenye kikosi hicho ili kuongeza ushindani ndani ya timu hiyo. Ni wazi kwamba mabingwa wa ligi ni Yanga kwa msimu wa 2022/23 wakiwa na pointi 74 kibindoni. Chini ya Nasreddine Nabi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga wamepoteza mechi mbili kwenye ligi. Raia huyo…
TAYARI kete ya kwanza imeshachezwa na kila mmoja ameona namna hali ilivyokuwa kwenye mchezo wa fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika. Leo msafara wa Yanga umeanza safari kueleka Algeria iwe ni safari njema na yenye mafanikio kwenu wawakilishi wa Tanzania kimataifa. Hakuna ambaye alikuwa amebeba matokeo uwanjani kwenye mchezo wa fainali ile ya…
YANGA SC: Tunarudi na kombe, Matola apewa ubosi Simba ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
KLABU ya Sevilla imefanikiwa kuongeza rekodi ya taji la saba la Ligi ya Europa baada ya kuwalaza Roma 4-1 katika mikwaju ya penalti kwenye Uwanja wa Puskas Arena mjini Budapest. Gonzalo Montiel huyu alifunga penalti ya ushindi kwa Argentina katika fainali ya Kombe la Dunia, alifunga mkwaju huo wa kuamua. Wataalamu hao wa Ligi ya…
MKUU wa Programu za Vijana wa kikosi cha Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa ili kufikia malengo kwenye anga la michezo ni lazima kuwepo na uwekezaji kwa vijana. Miongoni mwa vijana waliopita ndani ya Simba ni pamoja na Ibrahim Ajibu aliyepata nafasi ya kucheza Yanga, Jonas Mkude, Said Ndemla hawa walikuwa wanatajwa kuwa kwenye hesabu za…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa utakuja kivingine ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kuleta wachezaji wenye sifa ya ushindani na kutafuta matokeo bila kukata tamaa. Katika anga la kimataifa wamegotea hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika na watani zao wa jadi Yanga wapo hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Kwenye ligi…
LICHA ya kupoteza mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika Jumapili Mei 28,2023 ubao wa Uwanja wa Mkapa uliposoma Yanga 1-2 USM Alger, jina la mshambuliaji Fiston Mayele lipo mikononi mwa Waarabu. Juni 3,2023 mchezo wa fainali ya pili unatarajiwa kuchezwa na mshindi wa jumla atasepa na taji hilo kubwa Afrika. Mayele…
KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji Timu ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa…
NYOTA wa Azam FC, Abdul Suleiman Sopu anatarajiwa kurejea kwa mara nyingine tena ndani ya Tanga, Uwanja wa Mkwakwani kupambania uzi wa timu yake dhidi ya Yanga. Sopu aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Coastal Union na kwa sasa yupo zake ndani ya Azam FC akipambania majukumu yake. Azam FC itapambana na Yanga kwenye mchezo…
NABI Mafia afanya mabadiliko kikosini, Azam yaitibulia Simba SC kwa kiungo katili ndani ya Championi Jumatano
LEGEND kwenye masuala ya michezo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amewekwa wazi kuwa Yanga walikosa ubunifu kwenye mchezo dhidi ya USM Alger uliochezwa wa Mkapa Mei 28,2023. Jembe amesema kuwa Yanga bado hawajamaliza mchezo na wana uwezo wa kupata ushindi kwenye mchezo wa pili ikiwa watafanya maandalizi mazuri huku akiweka wazi kuwa kama angeulizwa nani…
INAELEZWA kuwa Chelsea wamefanya mazungumzo juu ya kumsajili kiungo wa Sporting Lisbon Manuel Ugarte kwa ajili ya kupata saini yake. Nyota huyo dau lake linatajwa kuwa na kipengele cha kuachiliwa kwa gharama ya Pauni 60. Mkataba wa Ugarte unamalizika 2026 na Kocha Mkuu wa Sporting Ruben Amorim amekiri itakuwa vigumu kuwabakisha wachezaji kama Ugarte kufuatia…
MASTAA wa Azam FC wameendelea na program maalumu kwa ajili ya kuwakabili wapizani wao Wagosi wa Kaya, Coastal Union kwenye mchezo wao ujao wa ligi. Kwenye uwanja huo Azam FC wanatarajiwa pia kucheza mchezo wa fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Yanga mchezo unaotarajiwa kuchezwa Juni 12. Yanga ni mabingwa watetezi walitinga fainali kwa…