
LUIS NI MNYAMA AMETAMBULISHWA
RASMI Luis Miquissone ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi Uturuki kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Nyota huyo ni chaguo la mashabiki ambao walipewa chaguo la kumtaja nani ambaye atarejea kwa kuwa alibaki mmoja kati ya wawili ambao Simba ilipanga kuwarejesha. David Kameta ambaye ni beki huyu alianza kisha swali likabaki…