Home Sports WAKALI WA KUTUPIA KWA KUTUMIA MGUU WA KULIA

WAKALI WA KUTUPIA KWA KUTUMIA MGUU WA KULIA

MASTAA wanne Bongo wakali wakutupia kwa kutumia mguu ule wa kulia.

Ipo wazi kwamba Yanga wamesepa na taji la ligi baada ya kufikisha pointi 74 mkononi wana mechi mbili.

Fiston Mayele katupia mabao 12 akitumia mguu wa kulia yupo zake ndani ya Yanga.

Mayele ni namba moja kwa kutupia akiwa na mabao 16 kibindoni.

Jeremiah Juma NI mabao 9 katupia kibindoni yupo zake ndani ya Tanzania Prisons.

Pape Sakho wa Simba katupia mabao 8 Kwa mguu wa kulia na mwamba Saido Ntibanzokiza katupia mabao 7.

Previous articleMTIBWA SUGAR HESABU KWA KAGERA SUGAR
Next articleMKATA UMEME ANAKUJA SIMBA, CHIVAVIRO NI MWANANCHI