
KAZI BADO IPO KWENYE LIGI, MAKOSA YAFANYIWE KAZI
MZUNGUKO wa kwanza una ushindani mkubwa na kila timu kuwa kazini kusaka pointi tatu. Mechi za mwanzo zinatoa picha ya kile ambacho kipo ndani ya timu husika. Kila idara ni muhimu kuwa imara ili kupata matokeo chanya. Kuanzia safu ya ulinzi na ushambuliaji hapa kuna ulazima wa kutazama mapungufu ambapo yalionekana kwa mechi zilizopita. Ikiwa…