
M BET KUWAPA ZAWADI WASHINDI WA SANYASANYA SIMU NA TV
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet Tanzania imezindua kampeni mpya ijulikanayo kwa jina la Sanya Sanya na M-Bet ambayo ina mwezesha mshindi kushinda fedha taslimu, simu ya mkononi na televisheni ya kisasa (Smart TV). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, Mkurugenzi wa Masoko wa M-Bet Tanzania, Allen Mushi amesema lengo la kuanzisha kampeni…