
VIDEO: BALAA LA MAOKOTO YA SPORTPESA MKWANJA NJENJE
MCHONGO wa maokoto ya SportPesa ni balaa huku mkwanja ikiwa ni njenje, mchongo mzima upo namna hii
MCHONGO wa maokoto ya SportPesa ni balaa huku mkwanja ikiwa ni njenje, mchongo mzima upo namna hii
SIMBA wanashiriki michuano ya African Football League ambayo inafanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya mpira wa Afrika. Simba ndio timu pekee kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki ambao wanakuwa wawakilishi katika ukanda huo. Si jambo dogo, tunapaswa kujivunia sana kwa kuwa majirani zetu kama Kenya, Uganda, Rwanda na wengine wangetamani sana kufikia hapo tulipo….
ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya African Football League, uongozi wa timu hiyo umesema watawaonesha wapinzani wao kwamba Simba ni timu ya aina gani. Mhezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, kisha marudiano Oktoba 24,…
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesema hatabweteka na mabao matatu aliyoyafunga katika Ligi Kuu Bara msimu huu, huku akipanga kuendelea na mwendelezo mzuri wa kufunga kwenye michezo ijayo. Kauli hiyo huenda ikawa salamu kwa mshambuliaji wa Simba Mkongomani, Jean Baleke ambaye ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara akifunga…
Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake ya bahati tangu akiwa Manchester United. Meridianbet inaifanya pia Ijumaa kuwa yenye bahati kwa kurejesha 10% ya pesa yako uliyotumia kwenye kucheza Lucky 6 na mchezo wa Keno. Hii ina maana kwamba unapocheza keno na…
WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo wameianza safari kuelekea Saudi Arabia kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Sudan. Chini ya Kocha Mkuu, Adel Amrouche Stars inatarajia kutupa kete yake Oktoba 15,2023. Miongoni mwa wachezaji waliopo kàtika msafara huo ni Bakari Mwamnyeto, Beno Kakolanya, Metacha Mnata, Ally Salim, Israel Patrick…
INATAJWA kuwa mastaa wote waliopo kikosi cha Yanga ikiwa ni pamoja na nyota watano ndani ya kikosi cha Yanga wameambiwa wanapaswa kuonyesha uwezo wao kwenye mechi zao zijazo ili kuendelea kupata namba katika kikosi hicho. Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi imecheza mechi tano za Ligi Kuu Bara ipo nafasi ya tatu na pointi…
TAYARI makundi ya AFCON yameshajulikana na kila mmoja kumtambua mpinzani wake. Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepangwa Kundi ‘F’ Ikiwa na Zambia, DR Congo na Morocco katika fainali ya Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2023 nchini Ivory Coast. Makundi yote sita yako hivi:- KUNDI A Ivory Coast, Nigeria, Equatorial Guinea, Guinea Bissau. KUNDI…
MIKASA ya kuumizwa iligeuzwa kuwa fursa na kumpa jina mwamba kutoka kanda ya ziwa akatusua kisha jamii ukamtambua kupitia ngoma ya Mbona. Ni MJ Record aliisuka biti zama hizo miaka ya 2007 PNC jina lake ni Panckras Ndaki Charlse akadondosha mistari yake akishirikiana na Mr Blue. Bado anapambania kombe kuonesha kipaji alichopewa na Mungu. Mengi…
WAKIWA wanaongoza ligi na pointi zao 15 kibindoni baada ya kucheza mechi tano, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amewakingia kifua waamuzi kwa kubainisha kuwa kila mmoja anatimiza majukumu yake. Simba kwenye mchezo wake wa tano dhidi ya Singida Fountain Gate uliochezwa Uwanja wa Liti, ilishuhudia ubao ukisoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba….
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amepiga mkwara kwa kuweka wazi kuwa kazi itaonekana zaidi kwa vitendo uwanjani katika kusaka ushindi. Nyota huyo anayevaa jezi namba 7 kibindoni katupia mabao matatu katika mechi za ligi pekee na katengeneza pasi moja ya bao ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya KMC, Uwanja wa Azam…
MUDA uliopo kwa sasa ni mwendelezo wa mashindano yaliyopo mbele kitaifa na kimataifa. Ambacho kinatakiwa ni maandalizi mazuri kwa timu zote. Kila mmoja anapenda kuona matokeo yanapatika kwenye mechi zote. Iwe ni zile za kirafiki ama za ushindani muhimu ushindi kwa kuwa hapo furaha imejificha. Ni muda wa wachezaji kufanya kazi zao kwa umakini bila…
Burak Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa mwanamitindo wakati akiwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Marmara huko Istanbul. Mwaka 2003 nyota yake ilianza kung’aa kwa kuwa Mwanamitindo bora wa Uturuki na miaka miwili baadae 2005 alitambuliwa kuwa nafasi ya 5 kwa wanamitindo…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Al Ahly maandalizi yapo sawa na hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo huo. Ahmed Ally, Meneja Habari wa Idara ya Mawasiliano Simba amesema mchezo huo utachezwa Uwanja wa Mkapa na kutakuwa na burudani kubwa kwa mashabiki watakaojitokeza. “Mechi itachezwa saa 12:00…
KILA timu imeshatambua mpinzani wake kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupangwa. Kila timu imetambua ni wapinzani wa aina gani ambao itakabiliana nao kwenye mechi za kimataifa. Kufika kwenye hatua hiyo ni muhimu kuwapa pongezi wahusika kwa kuwa walipambana kufikia malengo. Yanga na Simba kazi kubwa walifanya katika kupata matokeo. Kwa yaliyotokea mpaka kuwa…
KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri SportPesa kwa ushirikiana na mtandao wa Tigo kupitia huduma ya TigoPesa Oktoba 10 waliwazawadia washindi wanne zawadi. Katika washindi hao washindi wawili wamejishindia simu janja huku mmoja akikomba shilingi 1,000,000 na Diatus Ishengoma amefanikiwa kuwa mshindi wa shilingi 15,000,000 wa kampeni ‘Maokoto Deilee’. Mshindi wa milioni 15 za…
REKODI iliyoandikwa zama zile ikiwa inaitwa Singida Big Stars kwa Simba kukwama kokomba pointi tatu ilivunjwa Oktoba 8 baada ya ubao kusoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba. Jioni kabisa mbabe alipatikana kutokana na bao lililofungwa ikiwa ni dakika 8 zilibaki kugota mwisho kwenye mchezo huo. Ikumbukwe kwamba ilipokuwa ikiitwa Singida Big Stars ubao ulisoma Singida…