
KMC YASHINDA KWA MARA YA KWANZA NDANI YA LIGI
KMC leo imepata ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Uhuru kusoma KMC 2-1 Ihefu FC. Ni mshambuliaji mzawa, Matheo Anthony alipachika bao la mapema dakika ya 3 huku Raphael Daud dakika ya 34 aliweka usawa kwa Ihefu na kuwafanya waende mapumziko wakiwa wametoshana nguvu. Kipindi…