
WEKA KIGINGI, NIWEKE CHUMA, KARABAKA MITATU SIMBA
Weka kigingi niweke chuma, Karabaka asaini miaka mitatu Simba ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
Weka kigingi niweke chuma, Karabaka asaini miaka mitatu Simba ndani ya Spoti Xtra Jumanne.
UKIWA ni mchezo wake wa kwanza akiwa na kikosi cha Simba, Saleh Karabaka alifungua ukurasa wake wa mabao katika Mapinduzi Cup 2024. Ingizo hilo jipya dirisha dogo alikuwa anakipiga JKU hivyo alianza kazi mbele ya mabosi wake wa zamani akisaini dili la miaka mitatu. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma JKU 1-3 Simba ambapo ni…
OKRA Magic ni ingizo jipya ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ambapo kama atakuwa kwenye ubora wake kwenye kutimiza majukumu na akipewa nafasi atakuwa na kazi kwenye kutimiza majukumu yake ambapo anakwenda kuongeza ukubwa wa kikosi cha Yanga kitaifa na kimataifa.
RASMI Klabu ya Simba imekamilisha usajili wa kiungo, Saleh Karabaka kutoka JKU ya Visiwani Zanzibar kwa mkataba wa miaka mitatu. Karabaka mwenye umri wa miaka 23 anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Simba SC katika dirisha hili dogo la usajili. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na waajiri wake hao wapya, Karabaka tayari amejiunga na kikosi…
Ni mwaka mpya umefika ukiwa na mambo mapya, hivi umeukaribisha mwaka mpya 2024 ukiwa kiwanja gani? Iko hivi hapa mjini na popote ulipo kuna sehemu nyingi sana za starehe lakini kiwanja pekee chenye kukupatia hela kirahisi ni Meridianbet haswa unapocheza kasino ya mtandaoni yenye michezo mingi ya sloti na mubashara. Kwa mfululizo wa siku 365…
JANUARI Mosi,2024 Neema ya Mungu imetuzunguka na kutufanya tuwe hapa kwa wakati mwingine katika hili tunapaswa kusema asante. Hakika ni wakati mwingine mzuri kwa ajili ya kuanza kupambania malengo ambayo yalianza kuandikwa tangu wakati ule unapambania yale unayohitaji. Kwenye ulimwengu wa mpira kila timu imefunga kwa mpango wake katika mechi za funga mwaka na wengine wana kazi…
INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba wapo kwenye hesabu za kukamilisha usajili wa nyota Ladack Chasambi ambaye yupo ndani ya Mtibwa Sugar. Nyota amekuwa kwenye rada za Simba na Yanga ambapo kila mmoja amekuwa akimvutia kasi kunasa saini yake. Hata hivyo Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba aliweka wazi kuwa usajili wao…
OKRA aanza na nondo 5 Yanga, Luis achafua hali ya hewa Simba SC, ndani ya Championi Jumatatu… Happy New Year 2024
MSIMU wa 2023/24 umekuwa na kasi kubwa ya ushindani uwanjani ambapo timu nyingi zina rekodi yake. Simba kwenye upande wa ulinzi mambo bado ni magumu huku Yanga wakionekana kuwa imara. Mbali na hizo zipo timu nyingine ambazo ziliruhusu ukuta wao kutunguliwa mabao mengi. Happy New Year 2024
MGENI mwenyeji, Okra Magic ni mali ya Yanga yeye ni winga raia wa Ghana ambapo anajiunga na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond kwenye dirisha dogo. Desemba 31 2023 Okrah alitambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga kwenye mchezo wa Kombe la Mapinduzi, Zanzibar. Katika mchezo wa funga 2023 ubao baada ya dakika 90…
MATAJIRI wa Dar Azam FC rasmi Desemba 31 wametangaza kufikia makubaliano na Klabu ya El Marreikh kwa ajili ya kumsajili kipa wao wa kimataifa wa Sudan, Mohamed Mustafa. Kipa huyo amepewa dili la mkataba wa miezi sita ambapo atakuwa kwenye viunga vya Azam Complex kwa mkopo. Kipa huyo anatarajiwa kuwa kwenye majukumu yake katika kikosi…
DESEMBA imekuwa bora kwa Azam FC baada ya tuzo kuelekea Azam Complex kutoka Kamati ya Tuzo ya Shirikisho là Mpira w Miguu Tanzania, (TFF). Ni Kipre Junior amechaguliwa kuwa mchezaji bora aliwazidi Prince Dube wa Azam FC na Aziz KI wa Yànga. Mbali na Kipre ambaye alihusika kàtika mabao manne kwenye michezo mitatu ndani ya…
Je wewe ni bingwa wa kucheza karata na umeshindikana mtaani kwako, unahisi hakuna anayekuwezea? Huu hapa mchongo mpya wa kutengeneza pesa nyingi huku unaburudika na kucheza karata zako kwenye mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoitwa Casino Stud Poker. Casino Stud Poker ni mchezo mubashara wa poker uliotengenezwa na waandaji wabobefu wa michezo mbalimbali ya kasino ya…
WAKATI wa sasa kwenye mashindano ambayo yanaendelea ni muhimu kila timu kukamilisha mipango iliyopanga kuikamilisha ndani ya mwaka. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba anafungua ukurasa mpya wa mwaka huku mipango mingi ikiwa haijanikiwa kufikia pale ambapo ilikuwa inahitajika. Ipo wazi kwamba kila mmoja ni lazima awe makini kwenye kutimiza majukumu yake kwa wakati uliopo na…
AMEIGOMEA Simba kusaini mkataba wa mwaka mmoja ambapo inaelezwa kuwa anahitaji kupewa mkataba wa miaka miwili ili asalie hapo huku akiwa anatajwa kuwindwa na timu nyingine ambazo zinahitaji saini yake.
NYOTA Agustino Okra ambaye amecheza ndani ya kikosi cha Simba kabla ya kukutana na Thank You anatajwa kuwa kwenye hesabu za kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga. Yanga inanolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamond ambapo ina mpango wa kuboresha kikosi hicho ili kuendelea kuwa kwenye ubora wake
MAISHA yake kwa sasa ya soka ni Saudi Arabia katika Klabu ya Al Nassr inayoshiriki Saudi Professional League. Ni Desemba 30, Al Nassr ilikipiga dhidi ya Al-Taawoun na kushinda mabao 4-1, kwenye mchezo wa ligi. Katika ushindi huo wa Al Nassr, Ronaldo yeye alitupia bao moja dakika za lala salama kwa mpira wa kichwa. Bao…