
NAMUNGO WANA JAMBO LAO HUKO
UONGOZI wa Namungo FC umeeleza ukimya unaoendelea kwao ni mchakato wa kukimbizana na dirisha dogo la usajili ili waweze kufanya jambo litakaloendelea kuwapa mashabiki wao furaha zaidi. Timu hiyo kwa sasa inanolewa na aliyekuwa kocha wa viungo Shadrack Nsajigwa baada ya Denis Kitambi kupewa Thank You anatajwa kuibukia Geita Gold baada ya Hemed Morroco kubwaga…