
Shaktar Donetsk Yahofia Kumpoteza Mtanzania Yamuweka Benchi
Ni miezi miwili sasa tangu Shaktar Donetsk ya Ukraine kufanya mabadiliko kwenye benchi lao la ufundi kwa kumfukuza mwalimu Patrick Van Leeuwen na mikoba yake kupewa Marino Pusic (52) kukinoa kikosi hicho mpaka mwaka 2025-2026. Tangu kufanyika kwa mabadiliko ya benchi la ufundi kijana wa Kitanzania ambaye alifanya vizuri sana kwenye michezo kadhaa aliyopewa…