
WASHIKA BUNDUKI ARSENAL WAPEWA UBINGWA EPL
BEKI wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesema Arsenal ndiyo timu pekee inayoweza kutoa ushindani kwa Manchester City katika kuwania ubingwa wa Premier League msimu huu. Kauli ya Muingereza huyo imekuja kufuatia Liverpool kushindwa kuifunga Manchester Utd katika mchezo wa Premier uliochezwa Anfield, juzi Jumapili. Arsenal wamerejea kileleni mwa msimamo wa Premier, baada ya…