
SIMBA YAPOTEZA KARIAKOO DABI
KATIKA mchezo wa Kariakoo Dabi uliochezwa Desemba 22 ubao ulisoma Simba 0-4 Yanga kwenye NBC Premier League. Simba wakiwa wenyeji walishuhudia wakifungwa dakika ya 16 kupitia kwa Willyson Christopher, Shaban Ibrahim dakika 23, Ahmed Denis dakika ya 45 kwa mkwaju wa penalti, Hemed dakika ya 58. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed…