
NMB YATOA ZAIDI YA MILIONI 200 KOMBE LA MAPINDUZI
BENKI ya NMB imetoa zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya zawadi za mashindano ya kombe la mapinduzi Zanzibar na Traki suti 150 kwa ajili ya kuvaa kwenye matembezi siku ya Mapinduzi. Fedha hizo kwa ajili ya bingwa ambaye atazoa shilingi milioni 100 mshindi wa pili milioni 70, pamoja na medali za mabingwa na…