
SANKARA APIGA SIMU YANGA
MSHAMBULIAJI wa Asec Mimosas, Karamoko Sankara hatimaye amefunguka dili lake na Yanga huku akisema kuwa amekuwa akiwapigia simu wachezaji wa sasa wa Yanga, Pacome Zouzoua na Kouassi Attohoula Yao ambao ni marafiki zake. Sankara amekuwa akihusishwa kwa muda sasa kutakiwa na Yanga huku msimu huu katika Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa amefanikiwa kufunga mabao 4…