
AMEOGEZA DOZI KWA MASTAA HUKO MASTA GAMONDI
AMEONGEZA dozi Miguel Gamondi kwa wachezaji wa timu hiyo ili kuwa bora kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa
AMEONGEZA dozi Miguel Gamondi kwa wachezaji wa timu hiyo ili kuwa bora kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa
BAADA ya kukamilisha usajili wa nyota wapya ndani ya kikosi cha Simba uongozi umeweka wazi kuwa wachezaji hao watafaya kazi kubwa kukamilisha majukumu yao ndani ya uwanja malengo ikiwa ni kuwapa furaha mashabiki na kutimiza majukumu uwanjani
KAZI kubwa ambayo inapaswa kufanyika kuelekea kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa ni kufanya kweli kwa kila timu kupata matokeo mazuri. Tumeona kwamba kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) Tanzania ilikwama kutinga hatua ya 16 bora na kuishia kwenye hatua za makundi. Kwa maana hiyo kuna makosa ambayo wachezaji waliyaona na kushindwa kuyatumia…
Nancy Ingram ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya ubashiri Tanzania, Meridianbet akiongozana na timu yake nzima leo hii walifika Mbagala Rangi 3 kwaajili ya kugawa miamvuli kwa wafanyabiashara wadogowadogo. Ikiwa bado hali ya hewa haijakaa vizuri kutokana na hizi mvua ambazo zinaendelea kunyesha Meridianbet wameona kuna haja ya kutoa miamvuli kwa wafanyabiashara kwaajili ya…
MIAMBA ilyopo kwenye tatu bora ndani ya Ligi Kuu Bara ipo kwenye vita yao nyingine ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kutokana na uhalisia uliopo kwani kila timu inasaka pointi tatu. Yanga ambao ni mabingwa watetezi huku vinara wakiwa ni Azam FC. Simba mwendo wao haujawa imara licha ya kucheza mechi chache…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Simba ambaye ni mshambuliaji rekodi zake zinaonekana kumbeba ikiwa zitajibu ndani ya Ligi Kuu Bara. Tayari nyota huyo ambaye ni mshambuliaji Michel Fredy ameanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake ndani ya Simba kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa. Rekodi zinaonyeshwa kwamba raia huyo Ivory Coast aliyekuwa kwenye…
UONGOZI wa Simba umeweka kuwa umetenga fedha kwa ajili ya kuvunja mikataba ya wachezaji wa timu hiyo ikiwa watashindwa kuendana na kasi ya benchi la ufundi la timu hiyo kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja kitaifa na kimataifa
STRAIKA Simba:Nimekuja kikazi zaidi, Pacome, Maxi wampa kigugumizi winga mpya Yanga ndani ya Championi Jumamosi
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), leo Januari 25, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato che nne. BOFYA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 BONYEZA LINK HAPA CHINI Matokeo ya Kidato cha Nne 2024
Siku ya kupiga mkwanja imewadia ambapo mechi kibao zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani, Hispania, Italia Ufaransa na zingine kibao, weka pesa na uanze kusuka mkeka wako mapema kabisa. Nikianza kumulika ligi ya Italia SERIE A hapo kesho kutakuwa na mechi za kibabe sana zenye pesa nyingi kabisa majira ya saa 11:00 Atalanta atakipiga dhidi ya…
JURGEN Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool ameweka wazi kuwa hatakuwa ndani ya timu hiyo msimu ujao ikiwa ni maamuzi yake mwenyewe. Taarifa iliyotolewa na Liverpool imeweka wazi kwamba Klopp mwenyewe amesema hataendelea kuwa na timu hiyo baada ya msimu kuisha. Kocha huyo amesema:”Baada ya msimu kuisha sitaendelea kuwa katika nafasi ambayo nipo sasa ndani ya…
INATOSHA kwa maumivu ambayo mashabiki wameyapata pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ilikuwa ikipambana kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika, (AFCON). Kwenye mechi tatu ilizocheza ilikuwa ni ngumu kupata tabasamu kutokana na mechi zote kutoapa ushindi hivyo Watanzania wapo kwenye huzuni ya kuona kwamba kwa mara nyingine tena tunakuwa…
Hadithi za kale zina mafundisho mengi sana ndani yake, baadhi ya tungo hizo zilikuwa na lengo la kubadili mitazamo ya watu na nyingine ni kuburudisha, kuna hii hadithi ya Mfalme mmoja aliyetawala Falme za Kiarabu alikuwa ni mtu mpenda sifa na majivuno haswa kwa wafanyakazi wake na watu aliokuwa akiwapatia msaada. Moja ya watu ambao…
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa sababu kubwa ya kufanya biashara ya kuwauza wachezaji wao waliokuwa na uhakika wa namba kikosi cha kwanza ni kupata fedha za kulipa madeni. Timu hiyo ipo ndani ya tano bora na imekuwa ikileta ushindani mkubwa kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu Bara kutokana na mipango makini kwenye kusaka…
UWEPO wa nyota wapya ndani ya kikosi cha Yanga unatajwa kuwa sababu ya kuongeza ugumu wa namba kwenye kikosi hicho kinachofundishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi raia wa Algeria. Miongoni mwa wachezaji wapya waliongezwa ni mshambuliaji mmoja, kiungo mshambuliaji pamoja na mkabaji kwenye dirisha dogo la usajili.
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema watapambana kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa wapo tayari kuwapa furaha mashabiki na wao kutimiza malengo yao. Mzize ni miongoni mwa washambuliaji wazawa ambao wamekuwa ni maji kupwa na kujaa ndani ya Yanga licha ya kutopewa nafasi mara kwa mara akiwa kwenye ubora wake hufanya kazi yake kwa…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari wa habari katika masuala ya michezo Jembe ameweka wazi kuwa dunia inabadilika haraka sana huku mafanikio yakiwa kwenye sehemu tofautitofauti akibainisha kuhusu Kibegi kama kiliwasaidiai kuwaongezea kitu inawezekana kuwa sehemu ya mafanikio. Amebainisha kuwa ni muhimu wa kubadili mawazo kwa sasa kwa kuangalia kwamba kama ni waati uliopita…