
AKILI ZA SIMBA SASA ANGA LA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa mpango mkubwa kwa sasa ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Al Ahly ya Misri. Timu hiyo imetinga hatua hiyo ikiwa nafasi ya pili kwenye kundi B na pointi zake ni 9 inatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Uwanja wa Mkapa….