Home Sports KIUNGO MGUMU WA KAZI AMEREJEA SIMBA

KIUNGO MGUMU WA KAZI AMEREJEA SIMBA

BAADA ya kutokuwa fiti kwa muda tayari hali ya kiungo mgumu ndani ya kikosi cha Simba, Sadio Kanoute, (Putin) amerejea kwenye ubora wake ikiwa ni suala la muda kujua lini atarejea uwanjani kutimiza majukumu yake kwa ushirikiano na wachezaji wenzake.

Previous articleDIAMOND PLATNUMZ ATOA USHARI KWA VIJANA WENYE TAMAA NA MAISHA
Next articleAZIZ KI ANAZIPA TABU NYAVU BONGO