
SERIKALI YATUMIA BILIONI 2.4 KUGHARAMIA TIMU ZA TAIFA
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa katika kipindi cha mwezi Julai 2023 hadi Februari, 2024 Wizara kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) imetumia kiasi cha Shilingi Bilioni 2.4 kugharamia timu mbalimbali za Taifa katika mashindano ndani na nje ya nchi. Mhe. Ndumbaro amesema hayo wakati akiwasilisha utekekezaji wa Bajeti…