
NYOTA YANGA NA OFA KIBAO MEZANI
INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo ana ofa kibao mezani kwa timu mbalimbali kuwania saini yake. Ni Clement Mzize anatajwa kuwa na ofa zaidi ya tatu mezani kwa timu kubwa barani Afrika kuhitaji saini yake kutokana na mwendelezo wake ndani ya uwanja kwenye…