
WAZIRI WA FEDHA ATHIBITISHA KUTUMIKA KWA VAR KWENYE LIGI KUU
Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha kutumika kwa VAR kwenye Ligi kuu lakini pia ameomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.
Akisoma Bajeti ya Fedha 2024/25 Waziri Wa Fedha Dr. Mwigulu Lameck Nchemba amethibitisha kutumika kwa VAR kwenye Ligi kuu lakini pia ameomba kusiwepo na Kodi Kwa vifaa vya VAR.
LEGEND Jembe amezungumzia suala la mapato na matumizi ya Yanga, mapato na matumizi pamoja na deni ambalo lipo kwa Yanga huku akibainisha kuwa sio jambo zuri lakini mafanikio yamepatikana. Jembe amebainisha kuwa kuna haja ya kuziendesha timu kwa mfumo wa biashara ambacho kinapaswa kurekebishwa na zikifanyiwa kazi zitawapa faida Yanga.
Klabu ya Juventus ya Serie A imethibitisha kumteua mkufunzi Thiago Motta kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027. “Ninayo furaha kuanza ukurasa huu mpya katika klabu bora kama Juventus, asante kwa imani yenu na ninaweza kuhakikisha nitajitolea kuwafanya mashabiki wa Juventus wajivunie”. — Mota Mota (41) raia wa Italia…
“Sisi tunajuana tangu tunakua , haiwezekani mtu ambaye hana nasaba na Simba akawa ndani ya klabu , mimi nimepata kadi yangu ya uwanachama mwaka 1993” “Niulize sasa , Kwahiyo tangu mwaka 1993 tuseme nilijipanga nije kuwa mwemyekiti wa Simba ili nije kuihujumu ? anayenishutumu mimi nahujumu Simba yeye hata kadi ya uanachama hana” Wakati anajibu…
Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine, “Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo…
Mkongwe wa mpira wa kikapu wa Marekani Jerry West (86), amefariki dunia. West alicheza mpira huo kwa miaka 14 na kucheza katika fainali 9 za NBA chini ya timu ya Lakers ya Los Angeles, na kushinda mara moja mwaka 1972. West atakumbukwa kwa umahiri wake na zaidi kwa alama ya kudumu aliyoiacha kwenye nembo ya…
Kuna ile michezo mingine ya kasino, halafu kuna Aviator ya Meridianbet usipime aiseeh inatoa washindi kirahisi sana, mchezo huu unapatika kwenye kasino ya mtandaoni, kama ulikuwa unatufta njia rahisi ya kupiga mkwanja mrefu kasino, basi kiu yako imepata maji, cheza Aviator sasa utaona maajabu yake. Mchezo huu unahusisha urushaji wa ndege, sasa wewe ndiyo unapaswa…
ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la timu hiyo. Youssef alisema kuwa anaondoka Yanga, kutokana na shinikizo la Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi, ambaye ameshinikiza kwenda kwa uongozi na kuwaambia anapaswa kuachwa. Aliongeza kuwa kwa sasa hawezi kuweka wazi kila…
Rodrygo anaripotiwa kuwavutia Manchester City baada ya kucheza vizuri na kuwa sehemu muhimu katika mafanikio ya Real Madrid msimu huu, akifunga mabao 17 katika michuano yote aliyocheza msimu wa 2023/24 na kutoa pasi tisa za mabao. City wanathamini uwepo wa Rodrygo katika klabu Madrid, baada ya kumuona kuwa ni mtu anayehitajika kwenye timu lakini Ujio…
Klabu ya Feyenoord ya Uholanzi imemteua mkufunzi Brian Priske kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Arne Slot aliyetimkia Liverpool. Priske (47) raia wa Denmark ambaye amewahi kuinoa klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji hivi karibuni alikuwa akiifundisha klabu ya Sparta Praha ambayo ameiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Czech mara…
Klabu ya Coastal Union yadaiwa kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa klabu ya AS Vita na Yanga Djuma Shaban. Coastal imemsajili nyota huyo kama mchezaji huru baada ya kupita msimu mzima bila kuwa na timu ya kuitumikia. Haya ni maandalizi ya klabu ya Coastal Union kuelekea mashindano ya kombe la shirikisho Barani Afrika msimu…
Erik Ten Hag atasalia kuwa meneja wa Manchester United kufuatia ukaguzi wa baada ya msimu mpya uliofanywa na bodi ya klabu hiyo. Inafahamika sasa wanazungumza na Ten Hag kuhusu kuongeza mkataba wake, ambao unakaribia kuingia msimu wake wa mwisho. United walianzisha ukaguzi wao mara baada ya fainali ya Kombe la FA. Ten Hag aliingia kwenye…
Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna michezo 20 ya sloti inaweza kubadilisha maisha yako na kukufanya uwe tajiri! Promosheni hii ni maalum kwaajili ya wachezaji wote ambao wana akaunti za Meridianbet, kama hauna jisajili hapa ili kushindania Tsh 45,000,000/= Promosheni bado inaendelea, ni wakati kamili wa kushiriki! Weka dau lako kwa angalau Tsh 500/= kwa kila…
WAZIR Junior mfungaji wa bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia ameweka wazi kuwa ushirikiano kutoka kwa wachezaji wengine uliwapa nguvu ya ushindi katika mchezo huo. Tanzania ipo kundi E ambapo vinara ni Morocco wenye pointi 6 baada ya kucheza mechi mbili huku Tanzania ikiwa nafasi ya…
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO) ametoa taarifa rasmi kuhusiana na kinachoendelea Simba SC baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi Salim Abdallah Muhene Try Again kutangaza kujiuzulu pamoja na Wajumbe wa upande wa Muwekezaji. MO Dewji amethibitisha kuwa anarejea tena kuwa Mwenyekiti wa Bodi wakati Try Again anarudi katika Bodi kama Mjumbe wa upande…
Ukimsikiliza Salim Try Again wakati akitangaza kuachia NGAZI na baadaye ukamsikiliza Mohammed Dewji ambaye anatarajiwa kurejea kwenye kiti cha Mwenyekiti wa Bodi alichokishika kwa mafanikio makubwa utagundua kuwa SIMBA INAREJEA KWENYE UHAI… Viongozi hao wawili wamekiri kuwa walikutana na kuzungumza na kauli aliyeachia NGAZI na anayetarajia kurejea WAMELENGA KUIREJESHA Simba iliyoirudisha heshima ya Tanzania katika…
Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji Juni 11, 2024 ametangaza kukubali kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba aridhia ombi la aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Salim Abdallah ‘Try again’ ambaye alitangaza kujiuzulu. “Klabu yetu ipo kwenye kufanya usajili, Pre session, Simba Day, Ngao ya Jamii, niwaombe sana wana Simba wenzangu…