
EURO 2024 NI YA KUKUSANYA PESA TU, SPAIN DHIDI YA CROATIA KITAWAKA LEO
Siku ya leo viwanja vitatu tofauti vitatikiswa kushuhudia nani anaondoka na pointi tatu. Tikisa mtaani kwenu na wewe kwa kubashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet. Luciano Spalletti ndani ya Signal Iduna Park na Italy yake wanataka kutetea taji lao ambapo wataanza kukipiga dhidi ya Albania. Leo hii wamepewa nafasi kubwa ya kuibuka wababe…