
MASHUJAA SIO KINYONGE WATUMA UJUMBE SIMBA
WAPINZANI wa Simba kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Lake Tanganyika, Mashujaa wamegomea unyonge mbele ya Mnyama kwa kubainisha kwamba wamefanya maandalizi mazuri kuwakabili. Ipo wazi kwamba baada ya kumaliza ngwe ya kimataifa Simba ikigotea hatua ya robo fainali ina kazi kwenye mashindano ya ndani ambayo ni Ligi Kuu Bara pamoja na CRDB Federation Cup….