
MECHI NANE KURUSHWA LIVE AZAM TV
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili na leo Mei 25 zinatarajiwa kuchezwa Mechi 8. Huu ni mzunguko wa pili na kila timu imebakiwa na mechi mbili, wadhamini wakuu ni NBC tayari wameshakamilisha mpago wa kutoa taji kwa mabingwa ambao ni Yanga huku Azam TV mwendelezo wao ni kurusha matangazo live. Hapa…