
MWAMBA HUYU HAPA ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA
BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Yanga…