
FUNGA KAZI 2023/24, MATOKEO HAYA HAPA
MWISHO wa ubishi imefahamika nani atakuwa nani kwenye kila idara ambapo Yanga mabingwa wa ligi na wanaye mfungaji bora ambaye ni Aziz KI akiwa katupia mabao 21 msimu wa 2023/24. Simba ngoma imegota mwisho ikiwa nafasi ya tatu huku Geita Gold na Mtibwa Sugar hizi zimeshuka daraja mazima. Matokeo ya mechi zote ambazo zilikuwa live…