
SIMBA: HII IMEISHA, MIPANGO INAANZA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa msimu wa 2023/24 umegota mwisho hivyo ni hesabu kwa ajili ya msimu mpya 2024/25. Kete ya mwisho ya funga msimu ilikuwa ni Mei 28 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 2-0 JKT Tanzania. Hivyo Simba imekomba pointi sita mazima mbele ya…